Sunday, 2 February 2014

TASWIRA ZAIDI: MWENYEKITI WA CCM DR.JAKAYA KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA


1Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano kutoka viwanja vya Soweto Kwenda Bustani ya Jiji jijini Mbeya huku akiwa amewashikilia watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama cha Mapinduzi CCM yanayofanyika leo mkoani Mbeya kwenye uwanja wa Sokoine Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mwigulu Nchema, Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mama Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi wakishiriki matembezi hayo, Matembezi hayo ya kilomita tano yalianza Saa moja na nusu na kumalizika Saa mbili na robo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)2Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM2AMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete aki3Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto4Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
5Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa kitaifa wa CCMwakiwa wamejipanga tayari kwa kuanza matembezi hayo.7,Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia ,Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakisonga mbele.8Maaskari wa vikosi vya usalama Barabarabi na Usalama wa rais wakijiweka sawa na kuupanga msafara wa matembezi hayo9Wanahabari wakishiriki katika matembezi hayo10,Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza barabarani wakati matembezi hayo yakiendelea.11Adam Gille na wanahabari wengine wakiwajibika kama kawa12Wananchi wakishiriki katika matembezi hayo13Mwitikio wa wananchi ulikuwa mkubwa pamoja na kwamba matembezi hayo yalianza mapema saa moja na nusu mpaka saa mbili na robo.14,Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kipenzi cha watoto ameshiriki nao katika matembezi hayo kama anavyoonekana akitembea sambamba na watoto hao15Umati wa wananchi ukiwa umefunika barabara16Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia akiingia kwenye bustani ya jiji la Mbeya tayari kwa kupokea matembezi hayo yaliyoanzia Soweto Mwanjelwa na mkumalizikia katika bustani hiyo kiasi cha kilomita tano. kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mama Zakhia Megji,  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi.17Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete mara baada ya kupokea matembezi hayo kutoka kulia ni  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na Marck Mwadosya Waziri Ofisi ya Rais kazi Maalum18Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akitambulisha viongozi mbalimbali mara baada ya Rais Dr. Jakaya Kikwete kupokea matembezi hayo katika bustani ya jiji mkoani Mbeya.19Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wananchi, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi.20Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia na Dr. Mohamed Seif Khatibu Katibu wa NEC Oganizesheni huku wakifurahia mazungumzo hayo 21Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wana Mbeya mara baada ya kupokea matembezi hayo kwenye bustani ya Jiji jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kwenye uwanja wa Sokoine leo jijini Mbeya

No comments:

Post a Comment