

Akizungumza
na Wafanyabiashara Mkoa wa Njombe hii leo (30/01/2014) kwenye Ukumbi wa
TURBO,Mh:Mwigulu Nchemba amesisitiza kuwa Ofisi yake imedhamiria
kuhakikisha Njombe inapatiwa huduma zote zinazohusu TRA ilikuondoa
usumbufu wanaoupata Wananchi hivi sasa kusafiri nje ya Mkoa kupata
huduma.
Kwa
muda mrefu Njombe kumekuwa na Ofisi ya TRA ambayo inatoa baadhi ya
huduma kama Malipo ya Kodi,Kwenye Ulipaji wa Leseni,Tin No, n.k Wananchi
wamekuwa wakilazimika kwenda Mikoa ya karibu kama Mbeya na Iringa
kwaajili ya Kushughulikia huduma hizo.
Chanzo:Habari Kwanza Blog
Chanzo:Habari Kwanza Blog
No comments:
Post a Comment