Monday 16 December 2013

MKUTANO WA CCM DMV -MAREKANI


Katibu muenezi wa CCM DMV akisherehesha mkutano wa CCM uliofanyika Jumapili Dec 15, 2013 Langley Park, Maryland na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo uchaguzi mdogo wa wa Mwenyekiti wa Vijana CCM DMV na Katibu umoja wa wanawake CCM DMV katika mkutano huo walihudhuria Katibu wa CCM New York Bwn. Shaban Mseba akiambatana na Kada mashuhuri wa CCM New York Bwn. Seif Akida.
kuotoka Kushoto ni Aunty Grace, mweyekiti wa  CCM DMV Bwn. George Sebo akiwa na katibu wa chama hicho DMV bw. Jacob Kinyemi wakifuatilia mkutano
Wanachama waliofika kwenye mkutano huo wakisimama kwa dkk 1 kumkumbuka Mzee Nelson Mandela.
Mwenyekiti George Sebo akiongea machache.
Katibu wa CCM New York Bwn. Shaban Mseba akileta salamu kutoka CCM New York.
Ismail Mwilima mwenyekiti wa vijana CCM DMV akijinadi kabla hajachaguliwa kwenye mkutano huo.

Katibu muenezi Salma Moshi (kulia) akisaidia kumnadi  Mariam Kachingwe ambaye alishinda na kuwa katibu wa umoja wa wanawake CCM DMV.
Juu na chini wanaCCM DMV wakifuatilia mkutano.
Picha ya pamoja
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments:

Post a Comment