













Marehmu
Musa Madelu alifariki Tar.08/03/2014 baada ya Kuugua Muda Mfupi,Mazishi
yake yalifanyika Jana Tar.10/03/2014 Kijijini Kwao Makunda Kata ya
Kyengege,Wilaya ya Iramba-Singida.Marehemu alikuwa ni Kaka wa Mh.Mwigulu
Nchemba ambaye ni Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM-Bara.
Mungu Ametoa,Mungu Ametwaa
Jina la Bwana Lihimidiwe
Amina
poleeeeeeee
ReplyDelete