Monday 23 December 2013

TASWIRA: RAIS DK. SHEIN AZINDUA MATEMBEZI YA UVCCM, ZANZIBAR

A4374

A4085

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,alipowasili katika  uwanja wa  Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja  wa  Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
A4087

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu  wa UVCCM Zanzibar  Shaka Hamdu Shaka,alipowasili katika  uwanja wa  Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja  wa  Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 

A4374
Vijana wa UVCCM wakiwa wamebeba Pich za Viongozi wa Chama katika Matembezi ya Madhimisho ya miaka 5o ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(hayupo pichani)kuanzia  Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
A4134
Vijana wasoma Utenzi Saumu Mohammed,na Rehema Juma,wakiwaburudisha wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja wa Vijana UVCCM Zanzibar ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,ambapo  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,atafungua matembezi hayo yatakayoanza   Micheweni ,Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
A4253

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar na Wanachama wa CCM Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,pamoja na kuyafungua Matembezi ya Umoja huo ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata, (kushoto) Naibu Katibu Mkuu  wa CCM Zanzibar  Vuai Ali Vuai, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
A4127 (1)

Vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika uwanja wa Mpira wa Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakisubiri ufunguzi wa matembezi ya umoja huo ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea risala ya Veterani wa Umoja wa Vijana UVCCM Zanzibar,kutoka kwa Mzee Mohamed Hassan Ali, katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja huo, ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa kaskazini Pemba leo


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea risala ya UVCCM Zanzibar,baada ya kusomwa na naibu katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja huo, ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa kaskazini Pemba leo


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea risala ya UVCCM Zanzibar,baada ya kusomwa na naibu katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja huo, ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa kaskazini Pemba leo


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na  Katibu Mkuu  wa UVCCM Taifa Sixtus Mapunda,baada ya kutoa salamu za Jumuiya, katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja huo, ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa kaskazini Pemba leo


 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wakati alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, kuzungumza na Umoja wa Vijana ili kuyafungua Matembezi ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa Kaskazini Pemba leo


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar na Wanachama wa CCM Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,pamoja na kuyafungua Matembezi ya Umoja huo ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata, (kushoto) Naibu Katibu Mkuu  wa CCM Zanzibar  Vuai Ali Vuai


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(wa pili kushoto)akiongoza Maandamano ua Umoja wa Vijana CCM Zanzibar yaliyoanzia Michweni kelekea Wete Pemba,leo katika ufunguzi rasmi,Makamo wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa kamati Kuu Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,(katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa NEC Dk.Mauwa Daftari



Vijana wa CCM Zanzibar,UVCCM wakiwa katika Matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(hayupo pichani)yaliyoanzia Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba


 Vijana wa UVCCM wakiwa wamebeba Pich za Viongozi wa Chama katika Matembezi ya Madhimisho ya miaka 5o ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(hayupo pichani)kuanzia  Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba. 






 Kikundi cha Brass Band cha Umoja wa Vijana CCM Zanzibar,kikiongoza matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,leo kuanzia  Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba.Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu.

No comments:

Post a Comment