Wednesday 12 February 2014

MH:MWIGULU NCHEMBA KWENYE MAHOJIANO NA STAR TV TUONGEE ASUBUHI HII LEO 13/02/2014 "TANZANIA NA MAPAMBANO DHIDI YA UMASKINI"

Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba Asubuhi ya Leo Tar.13/02/2014 yupo Live Star Tv kwenye Mahojiano ya Moja kwa Moja kuhusu "TANZANIA NA MAPAMBANO DHIDI YA UMASKINI",Kwenye Mahojiano hayo atakuwa pia na Wataalamu kutoka TASAF.

No comments:

Post a Comment