Mwigulu anasema"Mchakamchaka Unaendelea Kalenga,Hii leo kazi imefanyika Kijiji Cha
Kidamali.Tunafanya kazi ya Kuhakikisha Tar.16/03/2014 Ushindi wa
Kishindo Unapatikana kwa Chama Cha Mapinduzi.
Asanteni Wanakalenga Kijiji Cha Kidamali,Kura Zote za NDIO Kwa Kijana Godfrey William Mgimwa.
UMOJA NI USHINDI"
Pichani ni Mh:Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga Mbele ya Maelfu ya Wananchi wa kata ya Nzi hii leo 28/02/2014.

Kwa kuwa Marehemu Mgimwa alikuwa anasomesha Watoto yatima ndani ya Jimbo lake,Hivyo Mh:Mwigulu Nchemba ameagiza kuwa Mbunge Mtarajiwa Godfrey Mgimwa atakapotangazwa kuwa ameshinda,Jukumu la kwanza ni kuhakikisha anabeba Mzigo wa Watoto walioachwa na Marehemu na kuanza kazi ya Kuwasomesha.
Kampeni
hapa Kalenga Zimepamba Moto,CCM wanafanya kampeni za Jukwaani na Nyumba
kwa Nyumba,Kijiwe kwa Kijiwe kuhakikisha Wanatetea Jimbo kwa Ushindi wa
Kishindo Tar.16/03/2014.
No comments:
Post a Comment