Tuesday 15 April 2014

VIDEO:MH MWIGULU NCHEMBA AKICHANGIA BUNGE HII LEO 15/04/2014 KUHUSU ZIGO LA SERIKALI TATU KWA WANANCHI KIUCHUMI NA ISIVYOFAA


3 comments:

  1. Mheshimiwa tupo pamoja katika hili, na tutapambana kwa moyo mmoja, wanataka ongeza serikali ya tatu ili kutengeneza fursa za ajira kwa wao wanasiasa pasipo kujua na kukumbuka kuwa kuna wahitimu wengi wa vyuo vikuu ambao hatuna ajira. Mungu akutilieni moyo na ujasiri nyote wenye kusimamia maslahi ya taifa kwani viongozi wa upinzani wameshindwa kuwa wazalendo, wawazi na wawajibikaji kwa wananchi, wanafanya mambo kwa utashi binafsi pasipo kukumbuka maslahi yaliyo ya watanzania wengi.

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa tupo pamoja katika hili, na tutapambana kwa moyo mmoja, wanataka ongeza serikali ya tatu ili kutengeneza fursa za ajira kwa wao wanasiasa pasipo kujua na kukumbuka kuwa kuna wahitimu wengi wa vyuo vikuu ambao hatuna ajira. Mungu akutilieni moyo na ujasiri nyote wenye kusimamia maslahi ya taifa kwani viongozi wa upinzani wameshindwa kuwa wazalendo, wawazi na wawajibikaji kwa wananchi, wanafanya mambo kwa utashi binafsi pasipo kukumbuka maslahi yaliyo ya watanzania wengi.

    ReplyDelete