




















Usalama wa Afya pia ulikuwepo kuhakikisha Huduma ya Kwanza inapatikana kwa Majeruhi,.
Majeruhi wa timu ya NMB akipewa huduma ya Kwanza.
Ugali
Sehemu ya Mashabiki wa timu zote mbili.
Kocha wa timu ya Bunge akitoa maelekezo kwa wachezaji wake,

Wachezaji
wa akiba na Mashabiki wa timu ya NMB wakishangilia Goli la Nne
lililofungwa na Mchezaji namba 9 Mgongoni(Hayupo pichani).
Kocha wa timu ya NMB akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Mpira wa pete wakiwa wanapumzika baada ya Kuibamiza timu ya Wanawake ya NMB Magoli 46 kwa 6.
Mh:Mashishanga akivalishwa Medal ya dhahabu akiwa ameongoza kikosi cha Mpira wa Pete cha Bunge kuifunga NMB.
Mh"Halima Mdee akivalisha Medali ya dhahabu.
Kombe hilo limetua kwa timu ya BUnge mpira wa Pete.
The Dream Team ya Bunge wakiwa wamebeba ndoo yao.
Washindi wa pili upande wa Mpira wa Miguu wakiwa wamevalishwa Medali za Shaba.
Mh:Mwigulu Nchemba akivalishwa Medali.

Kepteni/Nahodha wa timu ya NMB akipokea kome hilo baada ya Kuifunga timu ya Bunge Magoli 4 kwa 0.
Mwanamziki
wa Kizazi Kipya Mwana FA akiteta Jambo na Mh:Mwigulu Nchemba Naibu
waziri wa Fedha wakati wa shamrashamra Uwanja wa Jamhuri hapa Dodoma.
Mwana FA,Mwigulu Nchemba na Ruge Mtahaba wakipata Ukodak mara baada ya Mchezo kumalizika.
Timu ya NMB wakisherekea Ubingwa na Kombe lao.
Shamrashamra zikahamia Viwanja wa Dodoma Hotel kutuliza Uchovu wa Michezo mikali iliyofanyika jioni viwanja vya Jamhuri.































Picha/Maelezoz na Sanga Jr.
No comments:
Post a Comment