Gaberone-Botswana.
SADC
imefanya mkutano wake uliojumuisha sekta tatu tofauti,Fedha,Biashara na
Uwezeshaji nchini Botswana Mji wa Gaberone,Mkutano ulioanza
Tar.11/07/2014 na kumalizika hii leo Tar.18/07/2014.
Tanzania
katika mkutano huo imewakilishwa na Mawaziri kutoka Hazina(Mh:Mwigulu
Nchemba),Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Ofisi ya Waziri Mkuu Mh:Marry
Nagu na Waziri wa viwanda na Biashara Mh:Abdallah Kigoda.Mkutano huu wa
SADC Umejikita kwenye majadiliano ya kufikia makubaliano ya kuanziasha
kwa biashara huria na kuondoa vikwanzo mf.Ushuruwa forodha n.k.(Boosting Inter-African Trade-BIAT).
Pia kuanzishwa kwa mfuko wa kifedha utakaowezesha jumuia ya SADC kuendesha miradi yake ya maendeleo kwa ufanisi katika Nchi wanachama wake.Agenda ya kuanzishwa kwa mfuko wa kifedha ilianza kujadiliwa kwenye kikao cha SADC Kilichofanyika Maputo-Mozambique mwaka 2012 na 2013.
Picha/Maelezo na Festo Sanga

No comments:
Post a Comment