Naibu
Katibu Mkuu CCM Bara akisalimiana na Wananchi wa Rulenga hii leo
alipofika Kufunga Kampeni.za Uchaguzi wa serikali za mitaa.Mwigulu Nchemba akisisitiza Wananchi kuwasimamia Viongozi watakao wachagua,kufuatilia mienendo yao.Hakuna
kiongozi wa Nchi hii atakaye iba mali ya Umma na akajisifia kuwa yeye
ni Kiongozi Mwema na tajiri,Viongozi wabadhilifu wachukuliwe hatua kali
ikiwamo kufilisiwa.Mwigulu
Nchemba akiwaelezea Wananchi athari za kushindanisha Vyma kwenye
chaguzi bila Kuzingatia Ubora wa Viongozi wanaowasimamisha,Wakati huu wa
kuelekea Kipato cha kati tushindanishe Viongozi kwa Maendeleo
wanayotuletea na sio Vyama.,Mkutano ukiendelea Rulenge-Bihalamulo.Comrade
Mwigulu Nchemba akishangiliwa na Wananchi wa Rulenge hii leo baada ya
kuwahakikishia kuwa CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kutokana na namna
inavyosimamia maendeleo ya Wananchi wake.Mkutano ukiendelea wakati Naibu katibu Mkuu akihutubia.Mwigulu Nchemba akiagana na wananchi wa Rulenge ambao walifurika kumsikiliza hii leo.Mbali na Mkutano huu,Mwigulu Nchebmba hii leo amezungumza na wakazi wa Ukerewe,Bihalamulo,Ngara mjini na Bukoba.
No comments:
Post a Comment