Monday 17 August 2015

MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU ZA SERIKALI KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa Fomu za Serikali za kuwania Ubunge jimbo la Iramba kupitia CCM.Fomu zimetolea hii leo Ofisi ya Mkurugenzi wilaya ya Iramba.Mwigulu Nchemba akizaja Stakabadhi ya Malipo iliaweze kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Iramba.Mwigulu NChemba akiwa na Wagombea Udiwani kwa tiketi ya CCM,Jimbo la Iramba.

No comments:

Post a Comment