Saturday, 2 November 2013

PICHA:MBEYA WAPIGA HATUA KUBWA USAFIRI WA ANGA,FASTJET WAANZA SAFARI ZAO RASMI


Timu nzima ya marubani na wahudumu wa ndege katika safari ya kwanza ya fastjet kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya, ikiongozwa na Ali Hammoud (wa kwanza kulia)
Abiria wakifanya ukaguzi wa tiketi zao kabla ya kuelekea kwenye ndege
 Abiria wakipanda kwenye ndege
Injinia Remigius Mussa, mmoja wa abiria waliokuwa kwenye safari ya kwanza ya fastjet kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya
 Abiria
Wananchi wakiwa wamekusanyika nje ya uzio wa uwanja wa ndege wa Songwe jijini Mbeya ili kushuhudia uzinduzi wa safari za ndege za fastjet mkoni humo


Mkurugenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere (JNIA), Moses Maliki
Meneja uwanja wa ndege wa Songwe jijini Mbeya, Valentino Kadeha
Meneja Mauzo wa fastjet, Vishal Choudry akifafanua jambo 
 Wadau wa usafiri wa anga
Commercial manager wa fastjet, Jean Uku akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr. Shaban Mwinjaka.
 Furaha: Hata watoto wanafurahia kusafiri na fastjet
Ndege ya fastjet ikitua kwenye uwanja wa Songwe jijini Mbeya
Ndege ya fastjet ikifanyiwa mbwembwe za kuikaribisha kwenye uwanja wa ndege wa Songwe, tukio hilo linaitwa 'Water Splash'
Naibu Meya wa jiji la Mbeya, Chieffoda Fungo akiwa na mdau wa Mbeya yetu Mr. Nwaka Mwakisu wakakifurahia uzinduzi wa safari ya kwanza ya ndege ya Fastjet kati ya Dar es Salaam na Mbeya
 Ndege ya fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Songwe
Commercial Manager wa fastjet, Jean Uku, (kushoto)  pamoja na Mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa safari ya Dar es Salaam Mbeya,  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr. Shaban Mwinjaka (wa pili kushoto), akifuatiwa na Meneja wa Uwanja wa ndege Songwe, Valentino Kadeha na Meneja Mauzo wa fastjet, Vishal Choudry.
Mdau wa Mbeya yetu Charles Fumbo akipozi baada ya kushuka kwenye ndege ya fastjet
Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro 
 Wageni waalikwa
Meza Kuu: Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere (JNIA), Moses Maliki, Commercial Manager wa fastjet, Jean Uku, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr. Shaban Mwinjaka, na Kaiumu Mkurugenzi wa Mipango na Sera kutoka Wizara ya Uchukuzi, Aunyisa Meena.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr. Shaban Mwinjaka akizindua rasmi safari za ndege ya fastjet kati ya Dar es Salaam na Mbeya
Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr. Shaban Mwinjaka akikata keki kuashiria kuzindua safari za fastjet kati ya Dar es Salaam na Mbeya, kushoto ni Commercial Manager wa fastjet, Jean Uku 
Commercial Manager wa fastjet, Jean Uku akimlisha keki mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr. Shaban Mwinjaka
Meneja Mauzo wa fastjet, Vishal Choudry akiwa na Erick Sichinga
 Commercial Manager wa fastjet, Jean Uku akifafanua jambo
Mwandishi Mwandamizi wa Blog ya Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango
Mhariri wa habari wa Tone Multmedia ambao ndio wamiliki wa Blogs za Mikoa, Dotto Kahindi
Ndege ya fastjet ikiondoka uwanja wa ndege Songwe, Mbeya

Picha zote na Blogs za Mikoa

No comments:

Post a Comment