Tuesday 31 December 2013

HERI YA MWAKA MPYA 2014,TUWAJIBIKE KUDUMISHA AMANI NA UMOJA WA TAIFA LETU

Tukiwa Ukingoni mwa Mwaka 2013,Napenda Kuwashukuru watanzania wote kwa namna tulivyoshirikiana kwenye mambo Mbalimbali hususani Ujenzi wa Taifa letu Tanzania.
Ni dhamira ya Kila Kiongozi kuona Tanzania inasonga Mbele,Hivyo Watanzania tuendelee kushirikiana kwa Amani na Upendo Mwaka 2014 n.k.Tuendelee Kuliombea Taifa letu lidumu katika Amani,Haki na Kweli.Kila mmoja wetu atimize wajibu wake wa Kudumisha Umoja na Mshikamano Miongoni Mwetu.

HERI YA MWAKA MPYA 2014,
Mungu Ibariki Tanzania.

No comments:

Post a Comment