Leo tar.28.12.2013 Mbunge wa Iramba Magharibi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara ameshiriki Tamasha la UKWATA Mkoa wa Singida lililojumuisha Shule 150..Tamasha maalumu kwaajili ya Kuombea Amani ya Nchi,Viongozi wa serikali na Watanzania wote.
Mwigulu Nchemba ambaye amealikwa Kama Mgeni Rasmi Kwenye Tamasha hilo,amewaomba Vijana kutambua umuhimu wa Ujana wao katika kulijenga Taifa imara na lenye nidhamu.Vijana wakiwa ndio sehemu kubwa ya watu ndani ya Nchi yetu(Sensa 2012) wametakiwa kuwekeza nguvu zao kwenye kujishughulisha na mambo yenye tija kwa Kanisa,Taifa na Vizazi vijao.
Pia Mbunge huyo amechangia fedha kwaajili ya Ununuzi wa Gari la UKWATA mkoa ililiwasaidie kueneza injili ya Bwana ndani na Mkoa wa Singida.
Picha hizi hapa chini.
Saturday, 28 December 2013
Mh.Mwigulu Nchemba ashiriki Tamasha la Kuombea Amani Mkoa wa Singida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment