Naibu Katibu Mkuu CCM
Tanzania Bara Mh;Mwigulu Nchemba ameshawasili Jijini Arusha Mchana huu
akitokea Kiteto na Babati kwaajili ya Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani
zinazoendelea nchi nzima,Chaguzi hizi ni ndogo kwaajili ya kujaza nafasi
za Madiwani waliojiuzulu na wengine kufariki.













Picha zote na HABARI KWANZA BLOG
Hongerani sana uongoz wa CCM Kiujumla (ngazi zote) kwa kazi nzuri mnayoifanya...keep it up!! tu pamoja katika kulijenga TAIFA la Tanzania...
ReplyDelete