Sunday 9 February 2014

WADAU WA CCM MAREKANI WAKUTANA KUSHEREKEA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM JIJINI OAKLAND,CA

 Meza Kuu Kutoka Kushoto ni Katibu wa Tawi la CCM - California Ndugu Erick Byorwango, Mwenyekiti wa Tawi la California Ndugu Josephine Masabala, Mwenyekiti wa Tawi la Chicago Ndugu Tina Lupembe na Katibu wa Tawi la Houston Ndugu Abdallah Nyangasa
 Mwenyekiti wa Tawi la California Ndugu Josephine Masabala akifungua rasmi kikao 
 Mwenyekiti wa Tawi la Chicago Ndugu Tina Lupembe akitoa salamu na nasaa zake kwa WanaCCM waliyohudhuria 
 Mwakilishi wa Tawi la Houston, Texas Ndugu Abdallah Nyangasa akitoa salamu na machache kwa WanaCCM waliyohudhuria
 Katibu wa Tawi la California Ndugu Erick Byorwango akisoma risala ya Tawi 
 Katibu Erick Byorwango, Mwenyekiti Josephine Masabala na Mjumbe Stella Byorwango katika Picha ya Pamoja
 Wajumbe Stella Byorwango, Peter Ligate na Mwenyekiti Josephine Masabala katika Picha ya pamoja kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mjumbe Yassin Kapuya na Mwenyekiti Josephine Katiika Picha ya Pamoja
Wajumbe Yassin Kapuya na Peter Ligate, Vazi Maalum la Kapuya limetengenezwa na Kwetu Fashion
Mwenyekiti wa Tawi la California akimkaribisha Mwanachama mpya Ndugu Vincent
Mwanachama Mpya Vincent akifurahia kujiunga na Chama Kubwa





No comments:

Post a Comment