Friday 5 June 2015

MH:MWIGULU NCHEMBA KUCHUKUA FOMU YA URAIS JUMAMOSI HIII,WANANCHI WANAIMANI NAYE KUBWA

Mh:Mwigulu Nchemba,KIjana aliyetangaza nia ya Kuwania URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku chache zilizopita,Huku HOTUBA yake ikiacha Gumzo nchi Nzima.Hapo kesho anategemea Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais Mwaka 2015.
Tukio la KUCHUKUA FOMU litafanyika Mako Makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI,DODOMA kuanzia Majira ya saa 4:00 Asubuhi ya Tar.6.6.2015(Jumamosi).
Tunakutakia kila raheli Mh:Mwigulu Nchemba katika Safari yako ya kuelekea Kuliongoza Taifa hili linalo-turn to Miaka 50 Ijayo.
 
Kauli Mbiu yake "WAKATI NI SASA,MABADILIKO KWA VITENDO"

No comments:

Post a Comment