Sunday 14 June 2015

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA NA WANACCM ZANZIBAR,MOSHI,TANGA,SINGIDA,DAR ES SALAAM,N.K SAFARI YAKE KUELEKEA URAIS YAIVA

Katibu wa CCM,Wilaya ya Babati akimkabidhi Ndugu,Mwigulu Nchemba orodha ya wadhamini walioamua kuungana na Mwigulu kusaka mabadiliko ya kweli kuelekea kipato cha kati cha Uchumi wa Taifa letu.Mwigulu akisalimiana na WanaCCM wa Jimboni kwake Iramba wakati wa kukusanya orodha ya wadhamini wa safari yake ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano.Mwigulu Nchemba akishuhudia Mmoja ya wadhamini wake wakisaini kwenye orodha ya wadhamini kuwa yupo na Mwigulu kuelekea safari ya Mabadiliko kwa vitendo kwa Taifa letu.Mwigulu akipokelewa Mkoa wa Manyara tayari kwa kudhaminiwa na WANACCM.Mwigulu akiwasili Mkoa wa Tabora tayari kwa kudhaminiwa na Wanatabora.Mwigulu Nchemba akiwasili Mkoa wa Kilimanjaro,Wilaya ya Moshi Mjini tayari kwa kudhaminiwa na WanaCCM.Mwigulu Nchemba akionesha orodha ya WanaCCM waliomdhamini Mkoa wa Kilimanjaro.Mwigulu NChemba akikabidhiwa orodha ya WanaCCM MKoa wa Kusini Pemba-Zanzibar waliojitoa kwa dhati kudhamini safari yake ya kugombea nafasi ya Urais.
 
"WAKATI NI SASA,MABADILIKO KWA VITENDO"

No comments:

Post a Comment