Sunday 14 June 2015

MKOA WA SHINYANGA WAMDHAMINI MWIGULU NCHEMBA KUWANIA URAIS,MASELE AKILI YEYE ATAMUUNGA MKONO MGOMBEA ATAKAYEPITISHWA NA CHAMA

Ndugu Mwigulu Nchemba akiwasili kwenye kikao cha kukutana na wadhamini wake waliojitolea hapa SHINYANGA Mjini.Mwigulu Nchemba akiwa na Mbunge wa Shinyanga Mjini Mh.Masele wakati wa zoezi la kutafuta wadhamini hapa Shinyanga Mjini.Mwigulu Nchemba akishuhudia mmoja ya wanaCCM waliojitoa kumdhamini kwenye safari yake ya kuwania Urais ndani ya CCM.Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya wadhamini waliojitolea hapa shinyanga Mjini.Mwigulu Nchemba akiagana na Wadhamini wake wa mbio za Urais hapa Shinyanga Mjini.
"WAKATI NI SASA,MABADILIKO KWA VITENDO"

No comments:

Post a Comment