Tuesday 16 June 2015

VIDEO &PICHA MWIGULU NCHEMBA ALIPOFIKA NA KUONDOKA KAGERA MARA BAADA YA KUDHAMINIWA


Mwigulu Nchemba akiwasili ofisi za CCM Mkoa wa Kagera tayari kwa kudhaminiwa kuelekea Urais 2015.Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya wadhamini wa Mkoa wa Kagera hii leo,Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Bukoba Vijijini.Nimedhaminiwa,Asanteni Wanakagera

VIDEO,MWIGULU AKIAGANA NA WANANCHI WA KAGERA WALIOMDHAMINI

No comments:

Post a Comment