Monday 4 November 2013

PICHA:RAIS KIKWETE ALIPOMJULIA HALI DR.MVUNGI ALIYEVAMIWA NA KUJERUHIWA VIBAYA NA WATU WASIOFAHAMIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dk. Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) jana Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamosi Oktoba 2, 2013

No comments:

Post a Comment