Wednesday 6 November 2013

TAWI LA CCM NEW YORK LA ENDELEA KUGAWA KADI ZA UANACHAMA

Hapa katibu wa tawi la CCM New York bwana Shaban Mseba akimkabidhi kadi ya CCM bwa Magawa.
BwanaMagawa akionyesha kadi yake ya kuwa mwanachama wa CCM baada ya kukabidhiwa
Mikono juu na kadi ya CCM
Bwana Shaban katibu wa Tawi la CCM wakipata ukodak katikaei bwana Magawa na mwisho ni Seif Akida.

No comments:

Post a Comment