Monday, 2 December 2013
KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA ALIVYOITIKISA MBARALI.
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukizungumza na wananchi baada ya kuwasili katika mji wa Igawa wakati ukielekea Ludewa wilayani Mbarali Kinana amepata nafasi ya kuongea na wananchi wa eneo hilo kama anavyoonekana Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki Mh. Godfrey Zambi, Leo katibu mkuu huyo anafanya ziara katika wilaya ya Mbarali akikagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi kuimarisha uhai wa chama cha Mapinduzi, Katika msafara huo Kinana ameongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe na viongozi wenzake kama ishara ya uzinduzi wa ofisi ya CCM kata ya Ihanga Rujewa wilayani Mbarali
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha na uongozi na wafadhili waliofanikisha ujenzi wa ofisi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Mbarali Bw. Adam Mgoyi wa pili kutoka kulia
na wataalam mbalimbali wa halmashauri hiyo wakiwa katika kikao hicho
Mwenyekiti
wa CCM wilaya ya Mbarali Bw. Mathayo Mwangomo akimkaribisha katibu
mkuuu pamoja na ujumbe wake katika mkutano huo uliofanyika kwenye
ukumbi wa Lutheran mjini Rujewa.
No comments:
Post a Comment