Wednesday 27 November 2013

ZIARA YA KATIBU MKUU =CCM,MATUKIO YALIYOJILI KATIKA ZIARA YA KINANA LEO AKIWA ILEJE ,MBEY



 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivuka daraja la Mto Songwe kutoka upande wa Isongole, Ileja, Tanzania kwenda Ibilima,Wilaya ya Chitipa upande wa nchi ya Malawi akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa CCM na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika Mkoa wa Mbeya leo.Pia Kinana alioneshwa na Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Rosemary Senyamule (kulia) eneo la kujenga jengo la Ofisi za Uhamiaji kutokana na iliyopo kuwa kwenye

hali mbaya.
 Kinana akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mkoawa Mbeya, Godfrey Zambi pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Mohamed Mwala wakijadiliana jambo baada ya kukagua jengo la ofisi ya Uhamiaji katika Kata ya Isongole iliyopo mpakani mwa Tanzania na Malawi.















Credit: Richard Mwaikenda

1 comment: