Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda
Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni.
Maelfu ya wananchi wakaiwa wamefurika kwenye viwanja vya Ruanda Nzove kwenye mkutano huo
SOTE
NI CCM: Wananchi wakimpungia mikono Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi
Nape Nnauye akilipiwahutubia maelfu ya wananchi katika mkutano huo
Nape akisisitiza jambo kwenye mkutano huo
’Tanzania,
Tanzaniaaaa Nakupenda kwa moyo woteee….” Nape akiimba pamoja na
wananchi wimbo huo wa kuamsha ari ya uzalendo katika baada ya
kuwahutubia maelfu ya watu kwenye mkutano huo.
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule Dk. Asha-Rose
Migiro akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano huo
Bryson
Mwasimba aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, akitoa
ya moyoni alipopewa fursa ya kusalimia wanancjhi kwenye mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wenzake wakiwa kwenye
meza kuu wakati wa mkutano huo. Meza kuu hiyo ilikuwa tofauti kabisa na
zile zlizozoeleka ambazo huwa na mapambo mengi huku zikiwa na sehemu
ya kukinga jua. Utaratibu wa majukwa na meza kuu vya aina hii ndiyo
mtindo wa sasa katika mikutano ya CCM. Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk. Norman Sigala, Kattibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya

Mkuu wa CCM, na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
wakiwapungua mikono wananchi walipokuwa wakipita barabarani wakienda
kwenye mkutano huo
SISI NI VIJANA WA CCM: Vijana waliokuwa kwenye mkutano huo wakipiga picha kwa simu zao ili kupata kumbukumbu.
No comments:
Post a Comment