Saturday 7 December 2013

KINANA AZUNGUMZA NA WANAFUZNI WA ELIMU YA JUU NJOMBE, AZIDI KUVUNA WANACHAMA WAPYA VIJANA


1
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanafuzni wa vyuo vikuu mkoani Njombe wakati alipowasili katika Chuo cha maendeleo ya jamii Njombe ambapo amekutana na wanafunzi mbalimbali wa elimu ya juu mkoani humo na kusikiliza kero zao mbalimbali Kinana amefanya ziara maalum ya kikazo katika koa wa Njombe baada ya kumaliza ziara yake ndefu ya mikoa ya Ruvuma kamati  na Mbeya Alhamisi iliyopita akiongozana na wajumbe wa kamati kuu ya CCM Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi, kinana pia alishiriki katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha sanaa cha Vicheko Sanaa Group cha Njombe uliofanyika mjini Njombe leo (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-NJOMBE) 2
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhadhili wa Chuo cha Amani Njombe wakati alipowasili katika mkutano na wanafunzi wa elimu ya juu mjini Njombe. 3
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mkutano huo. 4
Baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu wakiskiliza kwa makini wakati karibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza nao chuoni hapo. 5
Mmoja wa wanafunzi kutoka chuo cha uuguzi Njombe Omary Sadiki  akitoa kero mbalimbali zinazokabili chuo hicho wakati wa mkutano huo 6
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi hao katika mkutano uliofanyika kwenye chuo cha maendeleo ya jamii Njombe.
7
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sara Dumba akifafanua mambo mabalimbali yanayokwamisha maendeleo katika chuo cha uuguzi cha Njombe wakati akijibu maswali ya wanafuzi wa chuo hicho. 8
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha Vicheko Sanaa Group Njombe iitwayo Amani Tanzania  uliofanyika mjini humo  leo. 9
Kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mjini Njombe kikitumbuizakatika uzinduzi huo uliofanyika mjini Njombe 10
Hiki ni miongozni mwa vikundi vya sanaa vilivyoshiriki katika uzinduzi huo. 11
Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi huo. 12
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akizungumza katika uzinduzi huo 13
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika uzinduzi huo 15
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati akizindua albam hiyo ya Amani Tanzania 16
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akishiriki kupiga ngoma katika uzinduzi huo wa albam ya Amani Tanzania  o 17
Kikundi cha ngoma za asili ya mkoa wa Njombe kikitumbuiza katika uzinduzi huo.14
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha albam ya Amani Tanzania iliyorekodiwa na kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mkoani Njombe leo katika uzinduzi uliofanyika mjini humo kushoto ni mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa Njombe Amani Fute.
18
Baadhi ya wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM wakila kiapo huku wakiwa wamenyanyua kadi zao juu mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo.

No comments:

Post a Comment