Naibu
wa Waziri wa Fedha Adam Malima alipokuwa akizungumza na wananchi wa
Sirari wa wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua vituo vya forodha na
kungea na watumishi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) katika mikoa ya kanda ya
Ziwa.

Mkuu
wa wilaya ya Tarime Luteni Kanali John Henjewele akimwonesha Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima (aliyevaa barghashia) na msafara wake maeneo
ya mpaka wa Tanzania na Kenya katika mpaka wa Sirari.
Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima akikagua jengo la kituo cha pamoja cha
huduma za forodha cha Sirari (OSBP) ambapo amemwagiza mkuu wa wilaya ya
Tarime Luteni Kanali John Henjewele na timu yake wafanyiwe tathmini ya
haraka na ya kina ndani ya wiki moja kwani jingo hilo limejengwa chini
ya kiwango na linanyufa nyingi hata kabla halijaanza kutumika kitu
ambacho Serikali imekataa kulipokea hadi tathmini ifanyike na kupewa
ushauri kulipokea au kutolipokea.

huduma za forodha cha Sirari (OSBP) na kujionea ufa mojawapo ndani ya
jingo la kituo hicho.(Picha zote na Eleuteri Mangi- MAELEZO, Mara).
.
Naibu wa Waziri wa Fedha Adam Malima akiwasili katika uwanja wa ndege
mkoani Mwanza akitokea mkoa wa Kagera kuendelea na ziara yake ya kikazi
ya kukagua vituo vya forodha na kungea na watumishi wa Mamlaka ya Mapato
(TRA) katika mikoa ya kanda ya Ziwa. Kulia ni Meneja wa TRA mkoa wa
Mwanza Jeremia Lusana.
Naibu
wa Waziri wa Fedha Adam Malima (wa pili kutoka kushoto) akiongea na
viongozi wa TRA mkoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege
jijini Mwanza. Wa kwaza ni Meneja wa TRA mkoa wa Mwanza Jeremia Lusana.
Naibu
wa Waziri wa Fedha Adam Malima akisalimiana na Naibu Kamishna Uhamiaji
Deogratius Magoma mara baaada ya kuwasili kituo cha Sirari wakati wa
ziara yake ya kikazi ya kukagua vituo vya forodha na kungea na watumishi
wa Mamlaka ya Mapato (TRA) katika mikoa ya kanda ya Ziwa.
Meneja
wa Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoa wa Mara Joseph Kalinga akiteta jambo na
Meneja wa Forodha mkoa wa Mara Ben Usaje wakati wa mazugumzo na Naibu
wa Waziri wa Fedha Adam Malima alipotembelea kituo cha forodha cha
Sirari.
Naibu
Kamishna Uhamiaji Deogratius Magoma (wa kwanza kulia) akimsikiliza
Naibu wa Waziri wa Fedha Adam Malima (hayupo pichani) wakati wa
mazungumzo na Naibu
wa Waziri wa Fedha Adam Malima alipotembelea kituo cha forodha cha
Sirari. Wa pili kutoka kushoto ni Mrakimu Mwandamizi wa Polisi OCD
Sirari SSP Omari Nassri.

Sirari SSP Omari Nassri
No comments:
Post a Comment