Wananchi wa Zanzibar wasema serikali mbili zatosha Wachukizwa na wanasiasa wanafiki wanaopindisha pindisha maneno Vijana wa CCM kutovumilia wanasiasa wanaokashifu waasisi wa Taifa letu Wasema wamechoshwa na matendo ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani wataka muswada wa kuujadili Serikali wa Umoja wa kitaifa wataka ufutwe kwani hauna faida kwa maendeleo yao .
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia kwenye mkutano wa
hadhara wa CCM leo, May 4, 2014, kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, mjini
Zanzibar. (Picha na Bashir Nkoromo)
Umati
uliohudhuria kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliohutubiwa na Kinana
leo, May 4, 2014, kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, mjini Zanzibar.
Watu wengi wakiwa wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM , May 4, 2014, kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, mjini Zanzibar.
Mbunge wa Songea Mjini Dk Emmanuel Nchimbi akihutubia wakazi wa Unguja kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kibanda Maiti na kuwataka wananchi hao kuwa makini na viongozi wanaogeuza maneno huku akitolea mfano kutoka kwenye kitabu cha Maalim Seif. Katibu wa NEC Oganizeshen Dk. Mohamed Seif Khatibu akihutubia wakazi wa Unguja kwenye mkutano wa hadhara Kibanda maiti .
Sehemu ya Umati uliohudhuria mkutano wa hadhara ambao ulihutubiwa na Viongozi mbali mbali wa CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Safi Sana, kazi nzuri CCM
ReplyDelete