Sunday 25 May 2014

TASWIRA ZIARA YA KATIBU MKUU CCM HII LEO SINGIDA MJINI,MWIGULU NCHEMBA BEGA KWA BEGA

Katibu Mkuu CCM Taifa (katikati) akiwa ameongozana na Naibu katibu Mkuu Mh:Mwigulu Nchemba na Mbunge wa singida Mjini mh:Mo Dewji wakati wakutembelea Ujenzi wa Hospitali Kubwa ya Kisasa Singida Mjini.Hospitali itakayokuwa ni tegemeo kwa Mikoa yote ya kanda ya katiMoja ya Jengo la Hospitali Kubwa na Mpya iliyojengwa kwa Nguvu za Mkuu wa Mkoa wa singida aliyeamua Kuandaa wazo hili na Kuanza kulifanyia kazi na hatimaye Hospitali hii hapa Imepatikana.Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr,KoneMsafara wa Katibu Mkuu Ukitembelea Kisima kikubwa cha Maji cha Halmashauri ya Mji wa singida.Kahawa baada ya Kutembelea Shina la CCM namba 6 singida Mjini
 Haya ni Maandamano kuelekea Viwanja vya Mkutano hapa Singida Mjini,Mh:Mwigulu Nchemba akiwa kwenye Bodaboda Kuelekea kwenye Mkutano.
Katibu Mkuu Mh:Kinana na Naibu Katibu Mkuu Mh:Mwigulu Nchemba wakiwasili eneo la Mkutano.
 Mh:Mwigulu Nchemba na Mh:Wassira wakibadilishana Mawazo wakati wa Mkutano.
Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Maelfu ya wakazi wa singida waliofika kwenye Viwanja vya Peoples Club kwenye Mkutano wa hadhara,Mwigulu Nchemba ametumia muda wake kuwaeleza watanzania kuhusu Hujuma na Michezo michafu ya Kisiasa inayofanywa na UKAWA ili kuhujumu Taifa na Mchakato Mzima wa Katiba..
Picha/Maelezo na Sanga Jr.

No comments:

Post a Comment