










Katibu Mkuu akisoma Kitabu cha Orodha ya Wananchama wa shina namba 7 Kata ya Ndago,Balozi ni huyo Kushoto kwa Katibu Mkuu.
Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba Yahya Nawanda akiwa na Viongozi wakitaifa wa Chama cha Mapinduzi.









Ngoma za Asili hapa ni Shelui.
Mh:Mwigulu Nchemba akicheza Ngoma ya Asili.
Mh:Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye wakifurahia Jambo.



















Mh:Mwigulu
Nchemba akizungumza na Wananchi kumjua Katibu Mkuu namna alivyotekeleza
Ilani ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Jimbo lake.



Mh:Mwigulu akimsikiliza kwa Makini Mzee huyu mwenye Ulemavu wa Miguu wakati wa Mkutano wa Katibu Mkuu CCM-Taifa hii leo Kiomboi.




Katibu Mkuu akikagua Ujenzi wa Maabara ya Kisasa ya Shule ya Sekondari Lulumba High School iliyopo Wilayani Iramba.
Katibu Mkuu akisaidia Ujenzi wa Ofisi ya Chama cha Mapinduzi Misigiri-Iramba. Wanafunzi wa Sekondari ya Lulumba wakimuaga Mbunge wao kwa Shangwe.

Picha/Maelezo na Sanga Jr.
No comments:
Post a Comment