







Mkutano Ukiendelea Mwananchama Mpya aliyeikacha Chadema akisalimiana na Mh:mwigulu Nchemba.
Mwigulu
akisisitiza kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni nguzo ya Kusimamia
maendeleo ya Halmashauri zetu.Hivyo wachaguliwe viongozi wenye uwezo wa
kusimamia maswala ya Umma.
CCM Oyeeee
Mwigulu "CCM haipo tayari kuela Mafisadi,yeyote anayehujumu Nchi nilazima achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.



No comments:
Post a Comment