Tuesday 4 February 2014

NAIBU WAZIRI WA FEDHA MH:MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA OFISI ZA TRA WILAYA YA KYELA

Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mh:Waziri Dkt.Harrison Mwakyembe(Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma za Ulipaji Kodi na Elimu Ndugu.Richard Kayombo wakielekea kutembelea Ofisi za TRA wilaya ya Kyela mapema hii leo. 

Mkuu wa Wilaya Mh:Magreth Kalenga akitoa maelezo kwa Mh:Mwigulu Nchemba kuhusu mpangilio wa vyumba vya Ofisi ya TRA WIlaya ya Kyela.
Naibu Waziri wa Fedha akiondoka kwenye Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania Wilaya ya Kyela hii leo.Ofisi hizi zimeanzishwa ilikusogeza huduma zote za TRA zipatikane Wilaya ya Kyela na kuacha kutegema kwenda kupata huduma zingine Mkoani Mbeya.
(Picha na Habari kwa hisani ya Habari Kwanza Blog)

No comments:

Post a Comment